Tuesday, March 5, 2013

WOMENS CELEBRATION DAY ILIVYOFANA DIAMOND JUBILEE MARCH 3,2013

 Vazi la kitenge likiwa limeshonwa katika mitindo mbali mbali ndio lilitawala onyesho hilo ambapo wamama na wadada walionekana kupendeza sana.
Hata sisi tuliositi pande hizi pia tumo......
Hapa ni mtoko tu.....
Ni mapozi tu...
Mwanamke kitenge......
Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013.

No comments:

Post a Comment