Sunday, March 17, 2013

HUYU NDIYE KIJANA ANAYEDAIWA KUANDAA VIDEO ILIYOMKAMATISHA MKURUGENZI WA CHADEMA WILFRED RWAKATALE


Anayedaiwa  kupiga  video  iliyosababisha   kukamatwa kwa  Rwakatale (  pichani ) maarufu kwa jina la  Ludovik Joseph amekamatwa  mkoani Iringa .kijana   huyo anadaiwa kuwa ni mhitimu  wa  chuo kikuu cha DUCE

No comments:

Post a Comment