Wednesday, March 6, 2013

MABIBO BEER WINE AND SPIRITS TANZANIA WAWATAHADHALISHA WANAAGIZA WINDHOEK KINYUME CHA SHERIA.

mshauri mkuu wa kampuni ya mabibo beer,wine and spirits tanzania JAMES RUGEMARILA(wa pili kulia)akizungumza na waandhishi wa habari wakati akitoa taarifa ya uhalali wa usambazaji wa beer za windhoek zinazotengenezwa na namibia breweries. meneja mkuu wa mabibo beer,wine and spirits tanzania NEIL STAINTON akiongea mbele ya waandishi wa habari wakati wa utoaji taarifa juu ya uhalali wa kampuni yake kusambaza beer ya windhoek inayotengenezwa na namibia breweries mkurugenzi mtendaji wa mabibo beer,wine and spirits tanzania BENEDICTOR RUGEMARILA akionyesha namba maalum MB66ambayo iko kwenye chupa ya windhoek ambayo ni utambulishio kuwa kampuni yake ndiyo yenye uhalali wa kusambaza kinywaji hicho.

No comments:

Post a Comment