Wednesday, March 6, 2013

MADRID NI HATARI SANA YAIADHIBU MAN U HIVIHIVI.

 Mshambuliaji wa Real Madrid, Luka Modric, akiifungia timu yake bao la kwanza la kusawazisha dhidi ya Manchester United, katika dakika ya 66, kabla ya Christian Ronaldo, kumaliza kazi kwa kuifungia timu hiyo bao la pili na la ushindi katika dakika ya 69. 
 Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos (katikati) akijifunga bao, kufuatia mpira uliopigwa na Luis Nani, na kumchanganya kipa wake, Diego Lopez, wakati wa mchhezo wa Ligi ya Mabingwa uliochezwa kwenye Uwanja wa Old Trafford, jijini Manchester, leo. 
Luis Nani, akishangilia bao baada ya beki wa Madrid kujifunga

No comments:

Post a Comment