Thursday, March 14, 2013

KINANA APOKEWA KAMA RAIS HUKO CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifunguliwa mlango na Ofisa wa Kichina, ili kuingia kwenye gari tayari kwa safari ya kuondoka jimbo la Dongguan kwenda uwanja wa wa Kimataifa wa Baiyun, Guangzhou kwa ajili ya kwenda jimbo la Chengdu, Machi 13,2013

No comments:

Post a Comment