Friday, March 8, 2013

*MISS UTALII TANZANIA VIPAJI 2012/13 KUPATIKANA KESHO DAR LIVE


 Washiriki wa shindano la Miss Utalii Tanzania Fainali za Taifa 2012/13 wakiwa katika picha ya pamoja Ukumbi wa Dar Live.
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Fainali za Taifa 2012/13 wakiwa katika mazoezi ya nguvu ya kujiandaa na Shindano lao la Vipaji ndani ya Ukumbi wa Dar Live.

No comments:

Post a Comment