Wednesday, March 20, 2013

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA TRAFIC ALIYEGONGWA NA GARI.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo.

No comments:

Post a Comment