Thursday, December 27, 2012

MABIBO BEER WAFANYA BALAAH KWA WANAFUNZI WA CBE DODOMA WATOA ZAWADI YA WINDHOEK LAGER KWAAJILI YA MWAKA MPYA

https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/p206x206/563980_187123338093893_881560073_n.jpg
Mkurugenzi wa G&G Mr Boss Ngasa baada ya kupokea zawadi ya Christmas kutoka WINDHOCK  LEGER kwa ajili ya G&G pamoja na wanafunzi wa CBE;
https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/p206x206/564071_187127641426796_688498248_n.jpg
Abraham byser akipokea Windhock leger  toka kwa Mr Balili
https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-snc6/p206x206/249882_187127011426859_1978214900_n.jpg
Side boy mtoto wa Ilala akiwa na KIongozi wa CBE:


https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/p206x206/531862_187126581426902_1359328055_n.jpg
Baadhi ya viongozi wa CBE wakiwa kwenye ofisi za Boss ngasa blog maarufu kama G&G Internet Cafe wakiwa tayari wamepokea zawadi zao za bia ya Windhoek lager

Wednesday, December 26, 2012

TUNAWATAKIA NOEL NJEMA WADAU WOTE

TUNAWATAKIA KHERI YA CHRISMAS NA MWAKA MPYA WADAU WOTE WA BLOG HII

KIKWETE ASHEREHEKEA CHRISMAS HUKO SERENA HOTEL KWA KUANGALIA KABUMBU

MH RAISI AKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA KOMBE LA UJIRANI MWEKATIKA HOTEL YA SERENA
NAHODHA WA HOTEL YA SERENA AKIKABIDHIWA KOMBE NA MH RAIS JK

Sunday, December 23, 2012

BINADAMU KWELI TUMETOFAUTIANA SANA MAWAZO

angalia hiyo picha ujue huyu jamaa ana akili au matope kichwani na aliwaza nini mpaka apande nguzo ya umeme akiwa uchi wa mnyama?kweli duniani kuna mambo

HONGERAA SANA STARS

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS YAFANYA KWELI MARA BAADA YA KUWATANDIKA MABINGWA WA AFRIKA ZAMBIA 1:0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOCHEZWA KATIKA UWANJA WA TAIFA DAR

MAPOKEZI YA LEMA ARUSHA NI KUFURU HAIJAWAHI KUTOKEA

barabara za arusha na moshi ni baaaaal zafungwa kwa muda kumkaribisha godbles lemaa
huyu ndiye lema bwanaaaaaaaa
baadhi ya wananchi wakimshangilia lema kwa ushindi

Saturday, December 22, 2012

MTAALUM DR KIFIMBO BINGWA WA KUTIBU MENO BILA KUNG;OA,TIBA ASILI NA MTALAAM WA NYOTA

.
wadau wengi wampongeza dr kifimbo kwa kuwa kudumu kwa muda mrefu katika tiba na kutibu kwa kweli bila utapeli wa aina yoyote wawataka waganga wengine wajifunze kwake.amekuwa msaada mkubwa hasa kutibu jino bila kung'oa
DR KIFIMBO MTU WA KHERI NA HEKIMA KWA TIBA ASILIA
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni hapa inaonyesha nyakati za firauni na musa zimerejea kwa dr kifimbo kichwa cha ajabu kinaongea kwenye sinia na nyoka wa ajabu anaunguruma mithili ya samba hapa ni jibu tosha kuwa nyakati za kleopatra zimelejea.

Friday, December 21, 2012

LEMA BINGWAAAA AIBWAGA CCM MAHAKAMA KUU ARUDISHIWA UBUNGE ARUSHA MJINI

Habari ziliufikia mtandao huu hivi punde, kutoka Mahakama ya Rufaaa jijini Dar es Salaam, zinasema kuwa, Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema ameshinda rufaa yake ya ubunge na hivyo kurejeshewa nafasi hiyo. Kesi hiyo ya Rufaa ilikuwa inasikilizwa mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam, ambapo Lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa Arusha mjini. Lema, alisimamishwa kuitumikia nafasi hiyo ya Ubunge wake kupitia CHADEMA, baada ya kuwapo kwa kesi iliyofunguliwa dhidi yake ya kutoa lugha ya matusi na kejeli kwa mpinzani wake aliyekuwa akigombea nafasi hiyo, kupitia CCM, Batilda Buriani.

KIKWETE APOKEA JEZI YA SUNDERLAND YA UINGEREZA

ais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia bada ya mkutano wa na Rais Ikulu jijijni Dar es salam.

LEMA AIBWAGA CCM MAHAKAMA KUU,SASA NI MBUNGE KAMILI WA ARUSHA MJINI

Habari ziliufikia mtandao huu hivi punde, kutoka Mahakama ya Rufaaa jijini Dar es Salaam, zinasema kuwa, Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema ameshinda rufaa yake ya ubunge na hivyo kurejeshewa nafasi hiyo. Kesi hiyo ya Rufaa ilikuwa inasikilizwa mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam, ambapo Lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa Arusha mjini. Lema, alisimamishwa kuitumikia nafasi hiyo ya Ubunge wake kupitia CHADEMA, baada ya kuwapo kwa kesi iliyofunguliwa dhidi yake ya kutoa lugha ya matusi na kejeli kwa mpinzani wake aliyekuwa akigombea nafasi hiyo, kupitia CCM, Batilda Buriani.

Thursday, December 20, 2012

KUMEKUCHA MISS EAST AFRIKA

NANI KUTWAA USD 30,000/=KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MISS EAST AFRIKA KESHO KATI YA HAWA?

MIJIZI YA MTANDAO YADAKWA DOM

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, D. A. MISIME – ACP. JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujihusisha na shughuli za wizi wa mtandao hususani katika maduka yanayotoa huduma za M-PESA,Tigo Pesa na Airtel Money katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Dodoma. Watu hao ambao wanadaiwa kujipatia zaidi ya shilingi 1,730,000 /= kwa Mawakala wanne tofauti wanaotoa huduma hizo walikamatwa jana tarehe 19/12/2012 majira ya saa 12:00 hrs mchana. Watuhumiwa hao ambao wanatokea Jijini Dar es Salaam majina yao ni Mohamed s/o Dotto @ Sefu, mwenye umri wa miaka (30) Mnyamwezi mkazi wa Kigogo, Mohamed s/o Pazi, Mzaramo Miaka (28) na Ally s/o Mohamed miaka (25) ambao ni wakazi wa Ilala. Wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kufanikisha wizi huo, moja ya mbinu ni kwenda kwenye maduka yanayotoa huduma hizo na kumwambia wakala kuwa wanaharaka na kutaka kuweka Pesa kiasi fulani ambacho wanakuwa nazo mkononi na kuanza kuzihesabu. Mara meseji ya pesa toka kwa wakala zinapoingia katika simu zao, simu zao huita wakati huo huo na kujifanya wanapokea simu huku wakisogea pembeni wakiongea na simu na kuondoka julma kwenda kuzitoa mahala pengine kwa haraka. Wakala walioathirika na Wezi hao mpaka sasa ni Consolata d/o Martini ambaye duka lake liko eneo la Kuu Streetu shilingi 300,000/=, Perndo d/o Martin qambaye Duka lake liko eneo la CBE Tsh. 860,000/= Mlay s/o Felix eneo la Makole Tsh. 300,000/=, Masala s/o Mabula wa eneo la Changombe Tsh. 70,000/= na Duka la Lazia Shop ambalo liko Mtendeni Street Tshs 200,000/=. Natoa wito kwa wamiliki na wakala wote wanatoa huduma hizo kuwa makini wanapoendesha shuguli zao, kwa kutoa taarifa za watu wanaowatilia shaka wanaofika kutaka huduma katika maduka yao mara moja ili wakamatwe na kufikishwa katika vyombo vya sheria. [D. A. MISIME – ACP] KAMANDA WA POLISI [M] DODOMA CONTACT: POLISI MKOA WA DODOMA DAWATI LA HABARI, ELIMU NA MAHUSIANO, Phone: 0715 006523 – Luppy Kung’alo – Mrakibu msaidizi wa Polisi (ASP) Phone: 0712 360203 – Silyvester Onesmo – Police Konstebo (PC)

NAULI UBUNGO ZALETA KIZAZAA

USAFIRI DAR NI MALAAA TUPU NAULI JUU MABASI HAKUNA.MAMIA YA WATU WAENDA KWAO KULA XMASS WALIACHA JIJI JEUPEEE HUKU WENYE MABASI NAO WAKIFAIDI NAULI MARA MBILI

MASKINI SHYROZY BHANJI

SHYROZ BHANJI AFANYIWA UPASUAJI HUKO INDIA JAMANI TUMUOMBEE WADAU WOTE

BIBI HARUSI UPEPO WAMUUMBUA MAJUU

huyu ndiye bibi harusi mapepe

Monday, December 17, 2012

BI HARUSI WA NIGERIA

HIVI NDIVYO BI HARUSI ANAVYOKUWA HUKO NIGERIA ASILI KWA KWENDA MBELE

AIBU HII MPAKA LINI VYUONI

HUU NI UCHAFU AMBAO UNAFANYIKA KATIKA BAADHI YA HOSTEL ZA VYUO HAPA NCHINI,WAZAZI WANATUMIA GHARAMA KUBWA SANA MATOKEO YAKE MWANAFUNZI ANAENDA KUFA UCHAFU HUUU JE TUFANYEJE KUKOMESHA NA SIJUI KAMA NA ZANA WANATUMIA HAWA.

MOTO WA KOFF OLOMIDE NDANI YA DAR NA MWANZA

HUYU NDIYO KOFF OLOMIDE NA VIMWANA VYAKE NDANI YA JIJI LA MWANZA ULIKUWA NI MOTOOOOOOO BALAHHHHHH.ILA KAMA VILE SIKU HIZI KACHUJA SI KAMA ZAMANI WADAU MNASEMAJE

Saturday, December 15, 2012

VIMODOOOOOOOOZ

UTAFITI WATU WEMBAMBA INASEMEKANA WANAMUDA MWINGI WA KUISHI DUNIANI KULIKO WANENE.KAZI KWENU VIBONGEEEEEEEEEEZ

WAZEE WA KIZIBOOOOOO CHA WINDHOEK

WAZEE WA KIZIBO LEO PATAKUWA HAPATOSHO MBELE YA KOFFF KATIKA VIWANJA VYA LEADERS MZEE WA FARASI AAHIDI KUFANYA MAKUBWA LEO

BALAAAAAAAAAAAAAAH

HII NI HATARI TUPU HAPA
SHUGHULI PEVU KWELIKWELI
WATOTO WA MJINI NAJUA MTAINGIA KWENYE TAFAKURI ZAIDI JUU YA HILI

Friday, December 14, 2012

KINYWAJI MURUA KWA THAMANI YA PESA YAKO

UZURI WA NYUMBANI NI MAPAMBO

ILI NYUMBA YAKO IPENDEZE LAZIMA UIPAMBE KWA MAPAMBO NA YANAYOFANANA NA RANGI YA NYUMBA YAKO

NEXT LEVEL WAZEE WA KIZIBO

EXTRA BONGO AKA BARCELONA TEAM WAZEE WA KIZIBO KUFANYA KWELI MBELE YA KOFF HAPO NDIO MTAJUA MKUBWA NANI MDOGO NANI"WENGINE MJIPANGEEEEEEEEEEE MBELE YA BARCA HATOKAGI MTU

JK AND RAY C

HIVI RAY C ANAUMWA NINI MPAKA RAIS AKAMTIBIE NA RAIS AMETUMIA PESA YAKE AU YA WALIPAKODI?
MBOMBA HATUWEKWI WAZI

KIDUMUUUUUUUUU AKIWA HOME

MWANAMUZIKI KIDUMU AKITUMBUIZA KWA HISIA WAKATI WA UZINDUZI WA BANK YA CRDB MJINI BUJUMBURA BURUDI
RAIS WA BURUNDI PIERE NKURUNZINZA AKIFUNGUA RASM CRDB NCHINI BURUNDI

Tuesday, December 11, 2012

HIZI SANAA SIKU HIZI NI LAAANA TUPU HUYU NI MSANII SNURA MSH

VIONGOZI WA IDARA YA SANAA MNAKAZI KUBWA SANA KWA MTINDO HUU BASI SASA HII SI SANAA TENA HEBU ANGALIENI MSANII HUYU HAPA NI JUKWAANI MBELE YA UMATI WA WATU ANAFANYA HIVI JE AKIWA PEKE YAKE.MAMBO HAYA YALITOKEA KATIKA UWANJA WA JAMHURI WAKATI WA UZINDUZI WA MAGIC FM NA DTV DODOMA