Monday, December 28, 2015

HARUNA NIYONZIMA AVUNJIWA MKATA NA YANGA


Klabu ya yanga imevunja mkataba wa mchezaji wake wa kimataifa Haruna Nionzima leo  kwa mujibu wa msemaji wa klabu hiyo Jerry Muro akiongea na wandishi wa habari katika klabu hiyo na kusema Nionzima atapaswa kulipa kiasi cha fedha za kitanzania shs 149 milioni  na kuongeza klabu yeyote itakapo mtaka mcheza huyo alipe kwanza kiasi hicho ndipo atamchukua&nbs.

Tuesday, August 11, 2015

ANGALIA PICHA 50 ZA LOWASA AKIENDA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI(NEC)


Mgombea Uraisi kupitia ukawa Edward Lowassa akiwa katika gari lake kuelekea  Tume ya uchaguzi kuchua fomu leo
haya ni maandamano ya kumsindika Lowassa kuchukua fom eneo la barabara ya bibititi katika 

moja ya shamrashamra mwqendesha bodaboda aserereka barabara ya OHIO karibu na serenna Hotel

huyu jembe mwana

Vijana wakiwa  kwenye kwenye mchakachaka

wakielekea tume ya uchaguzi

hizo ni shamra shamra

wafanyakazi mbalimbali wakiwa barabarani eneo la

gari la magereza  likipita eneo la barabara ya Ohio wakishangilia maandamano

Gari la magereza  likipita eneo la barabara ya Ohio wakishangilia maandamano huku wakionyesha vidole kuashiria ukawa 


jeshi la polisi wakiwa katika doria

baadhiya wafanyakazi nje ya ofisi zao

wakiwa wamebeba jenezahuku wakiweka mikono vichwani kwa huzuni na kilio

wamebeba kiloba cha machupa wakiimba maisha bora kwa kila mtanzania kuuza chupa za plastiki

wamasai nao wamo

hicho ni kibuyu wakitia ubani kumuombea Lowassa kuingia ikulu

mashabiki wakiwa na hiki kibuyu

hiyo nyumi

jamaa huyu akiwa na funguo akijaribu kufungua mlango wa Ikulu

hiii nyomi ya mtu

wakielekea tume ya uchaguzi

jembe letu

kijana huyu  ambaye amejipaka unga kichwani ambaye akifanya Lowassa



akiserebuka barabarani

hawa mashabiki  mmoja akifanya mganga wa jadi  akielekea  tume ya uchaguzi

mdundiko

maandamano

maandamano

mchaka mchaka


wabunge  mchngaji Msigwa na Godbles Lema

gari la mama regina Lowassa

Gari la lowassa


wanahabari

mwenyeki wa chadema Freeman Mbowe

James Mbatia

wapiga picha

wapiga picha



sugu

maandamano


muuza kadi

hali

ulinzi

Sunday, May 31, 2015

LIVE KUTOKA CHUO CHA MIPANGO DODOMA MWIGULU NCHEMBA AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS.


Sasa  ni  zamu  ya  Mwigulu  Nchemba  kutangaza  nia  ambapo tayari amewasili katika ukumbi wa Mwl. Nyerere katika chuo cha mipango Dodoma ili kutangaza   nia  yake  ya  kugombea  Urais  kwa  tiketi  ya  Chama  cha  Mapinduzi, CCM.

Hapa  nimekuandikia  pointi  muhimu  anazotoa  Mwigulu Nchemba (Zinaanzia  juu  kuja  juu);

13: Mtu yoyote akithibitika amefanya vitendo vya rushwa, atafilisiwa, atafukuzwa kazi na atafungwa. 
  
12: Rushwa hupofusha macho ya wenye akili na rushwa hurudisha nyuma maendeleo. 
  
11: Awamu ya 5 nataka kuona nchi ikiingia kwenye uchumi wa viwanda na vijana wakifanya kazi kwa shift usiku na mchana .
  
10: Pia jambo lingine la kuzingatia ni Udhibiti wa matumizi mabaya ya fedha na kuacha kufanya kazi kwa mazoea. 

9:Mambo ya kuzingatia ni Kila mtu kulipa kodi anayostahili na sio kukandamiza wafanyakazi na kinamama wauza vitumbua .

8:Mkataba wa Rais wa awamu ya tano ni juu kazi anazoenda kufanya na sio kazi alizowahi kufanya.  


7: Faida  ya  kuwa  kiongozi  Kijana  ni  kuwa Unafanya kazi ukiwa na nguvu na ukimaliza unapumzika, kwahiyo unajiuliza tena hilo? 
  
6: Kiongozi akipatikana kwa mazoea, atafanya kazi kwa mazoea. Nawaambieni tunataka tukomeshe kufanya kazi kwa mazoea

5: Kukaa sana serikalini si kigezo, unaweza kukaa sana serikalini na ukawa umesababishia hasara kubwa Taifa hili. 


4: Nilipomaliza shahada ya 2  nilibeba zege na mke wangu alipika mama ntilie, natambua tatizo la ajira kwa vijana. 

3: Kiongozi aliyekaa muda mrefu madarakani maana yake ni kwamba amesahau shida za wananchi. 

2: Nimeamua kutangazia nia Dodoma kwakuwa ni Makao makuu ya Nchi na pia makao makuu ya chama.
 
1: Namshukuru MUNGU kwa kuniwezesha leo kusimama mbele yenu kwaajili ya kutangaza jambo kubwa kwaajili ya nchi yetu 

MZIKI WA MMASAI ,LOWASA NI NOA SANA

 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jana, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jana, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha, kumsikiliza  Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).
 Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha .
 Mh. Lowassa akiwapungia wananchi.
 Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akihutubia katika mkutano wa hadhawa wa kutangaza nia yake hiyo,  kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha.
Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mkewe Mama Regina Lowassa wakati wa mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
Mh. Edward Lowassa akipongezwa na baadhi ya Wabunge waliohudhulia mkutano huo, baada hotuba yake.