Tuesday, December 9, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA.

 Rais Jakaya Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi, wakati alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania.
 Rais Jakaya Kikwete  akikagua gwaride.
 Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanziba, Balozi Seif Idd, baada ya kuwasili uwanjani hapo.
 Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein.
 Wimbo wa Taifa......
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo.
 Sehemu ya wageni waalikwa....
 Sehemu ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali, waliohudhuria sherehe hizo kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo mchana.

Sunday, December 7, 2014

BREAKING NEEEWZ!!! IDRIS WA TANZANIA ASHINDA BIG BROTHER.

Mshiriki  wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kinara leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II

Wednesday, December 3, 2014

DUNIANI KUNA VITUKO, TAJIRI MAARUFU NIGERIA AZIKWA AKIWA NDANI YA GARI LAKE LA HUMMER.

 Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
Tayari wakianza kufukia gari hilo kama inavyokwa kawaida kufukia Jeneza baada ya kukamilika kwa taratibu zote.  ''ETI SHIKAMOO PESA''

AL-SHABAB WAUWA WATU 36 NCHINI KENYA

Watu 36 wamefariki katika shambulio lililofanya na kundi la al-shabab kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa mandera kaskazini mwa kenya.shirika la msalaba mwekundu limethibitisha kutokea kwa shambulio hilo.

wakazi wa eneo hilo wamesema walio uawa ni wasio waislam waliokuwa wakifanya kazi katika machimbo hayo yaliyopo kormey kilometa 20 kutoka mji wa mandera kaskazini mwa kenya.