Wednesday, December 3, 2014

AL-SHABAB WAUWA WATU 36 NCHINI KENYA

Watu 36 wamefariki katika shambulio lililofanya na kundi la al-shabab kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa mandera kaskazini mwa kenya.shirika la msalaba mwekundu limethibitisha kutokea kwa shambulio hilo.

wakazi wa eneo hilo wamesema walio uawa ni wasio waislam waliokuwa wakifanya kazi katika machimbo hayo yaliyopo kormey kilometa 20 kutoka mji wa mandera kaskazini mwa kenya.

No comments:

Post a Comment