Monday, March 11, 2013

waziri kagaruki mgeni rasmi Tanzania Business Women Enterpreneurs

COMITTEE GROUP PHOTO
Kamati  iliyoandaa shughuli hii,Kushoto ni mwenyekiti wa Kikundi  Haika Lawere na kushoto ni Makamu mwenyekiti-Naomi Kaspar wakiwa na mgeni rasmi mwisho kabisa kushoto ni Angela Msangi, katika  shughuli zao kwenye hafla ya siku ya Mwanamke iliyofanyika kwenye hoteli ya Mbezi Garden jijini Dar DANCING WIT ANGELA MANYWajasiriamali wakifungua muziki pamoja na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh Angella Kairuki

No comments:

Post a Comment