Friday, March 15, 2013

KUKAMATWA KWA RWAKATALE CHADEMA WAJA JUU

Wilfred Lwakatare

katibu mkuu wa chadema wilbroad slaa asema tuhuma za mkurugenzi wa ulinzi na usala wa chama hichi bwana rwakatale kupanga njama za kuteka mwandishi wa habari ni mchezo mchafu wa polisi

No comments:

Post a Comment