Tuesday, March 5, 2013

*MOTO WATEKETEZA GHARA LA KUHIFADHIA BIDHAA UBUNGO LEO


Wafanyakazi wa Zima Moto wakijitahidi kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika ghara la kuhifadhia bidhaa eneo la Shekilango Ubungo Dar es Salaam, leo mchana. Picha na Amani Tanzania

 Magari ya vikosi vya zimamoto yakimwaga maji ili kuzima moto huo

No comments:

Post a Comment