Sunday, March 17, 2013

RWAKATALE KUFIKISHWA MAHAKAMANI JUMATATU.

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare kesho anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam  akihusishwa video ya uchochezi inayodaiwa kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Lwakatare atafikishwa mahakamani hapo siku ya jumatatu baada ya kukamilika kwa taratibu zote

No comments:

Post a Comment