Sunday, August 4, 2013

WEEKEND YA LEO TUMETEMBELEA IMPACT FM 94.4 DODOMA.

 hapa mmoja wa watangazaji nguli wa kiume wanaotesa dodoma kwa sasa bwana stevene mtesigwa aka steve chris akiwajibika ndani ya 94.4 imapct fm dodoma
nikakutana na sauti nyororo ya kike naye kutoka kwa grace juma aka g2 the j amekuwa gumzo  sana dodoma kwa upande wa watangazaji wa kike hapa akiwajibika.

No comments:

Post a Comment