Monday, August 19, 2013

RAIS KIKWETE AMPONGEZA DR STERGOMENA TAX KWA KUCHAGULIWA KUWA KATIBU MTENDAJI WA SADC.


Katibu Mtendaji mpya wa SADC Dr.Stergomena Tax akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa Malawi Anastazia Msoza wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi leo Picha na Freddy Maro

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dkt.Stergomena Tax wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi leo kikao hicho kimeisha leo.
Rais wa Malawi,  Dkt. Joyce Banda (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa ,Malawi, Anastazia Msosa, na Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma (kulia) wakimpongeza Dkt. Tax, baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo leo. 
Rais wa Malawi,  Dkt. Joyce Banda (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa ,Malawi, Anastazia Msosa, na Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma (kulia) wakimpongeza Dkt. Tax, baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo leo. 
Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena Tax kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo wakati wa mkutano mkuu wa 33 wa viongozi wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi mwishoni mwa wiki.Wapili kushoto ni Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik aliyefika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kumlaki Rais na Ujumbe wake.

No comments:

Post a Comment