Thursday, August 1, 2013

SHIDA YA KUVUTA SIGARA,ANGALIA WAVUTA SIGARA WANAVYODHIBITIWA HUKO KENYA

Baadhi ya wavutaji wa sigara wakiwa katika chumba kimoja katijati ta  jiji la nairobi wakivuta sugara kutokana na nchi ya kenya kuweka msimamo na kusimamia sheria ya kutovuta sigara katika eneo lenye watu wengine wasiotumia sigara. jambo hilo humfanya mtu kutembea umbali mrefu kutafuta eneo hilo maalum kwa uvutaji wa sigara tofauti na nchi nyinginezo mnapishana tu na wavutaji tena wakikupulizia moshi usini.

No comments:

Post a Comment