Saturday, August 3, 2013

LIVE KUTOKA NANE NANE DODOMA,UHUMIMU WA KUVAA KOFIA NGUMU AU HELMET.

Mshauri na Mtaaramu wa Kiwanda cha Kofia Ngumu za kuvaa wakati wa kuendesha pikipiki na Baiskel Alpherio Nchimbi akimfafanulia jambo Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Christopher Chiza wakati alipotembelea Banda la Magereza kabla ya kuzindua maonyesho ya wakulima nanenane yanayoendelea kitaifa mkoani Dodoma. 
[PICHA NA JOHN BANDA]

No comments:

Post a Comment