Monday, August 5, 2013

RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL JAFASON CLINTON AZURU ZANZIBAR.



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,(katikati) aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake. Kushoto ni Chelsea Clinton,ni Mtoto wa Rais Mstaafu huyo wa Marekani
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani  Chelsea Clinton,baada ya kufungua mpambano wa Mpira wa Miguu kwa timu za Wachezaji wa Zamani uliofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium,(katikati) Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton

No comments:

Post a Comment