Sunday, August 11, 2013

MWANAMKE ACHOMA MOTO RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA WIVU

MWANAMKE ACHOMA MOTO RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA WIVU                                                                        
Wivu noma sana , Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
Whats your take
WIVU NOMA SANA DADA MMOJA AMEAMUMUA KULITIA KIBIRITI GARI LA MPENZI WAKE AINA YA RANGE ROVER HUKO MBEZI JIJINI DAR BAADA YA KUKUTA CONDOM NDANI YA GARI HILO BAADHI YA MASHUHUDA WALIOONGEA NA DODOMAFAMILY WAMESEMA DADA HUYO ALISIKIKA AKISEMA HILI GARI NDIO LINAKUTIA KIBURI MPAKA UTEMBEE NAO NDANI YA GARI SASA NACHOMA MOTO UWEPELEKE KICHAKANI    .NOMA SANAAA.


No comments:

Post a Comment