Saturday, August 17, 2013

MKOA WA DODOMA WAANDA SHEREHE MAALUM YA IDD KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WANAOLELEWA KATIKA VITUO MAALUM ILIYOFANYKA JANA KATIKA VIWANJA VYA NYERERE SQUARE MJINI DODOMA NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI WA DINI NA SERIKALI.

 mgeni rasmi wa sherehe hiyo mkuu wa mkoa wa Dodoma mh dr REHEMA NCHIMBI katikakati akiwa meza kuu(kushoto ni mkuu wa wilaya dodoma mjini mh lephy gembe kulia shekh mkuu wa mkoa wa dodoma ndugu MUSTAPHA RAJAB)
 kikundi cha sarakasi kikisherehesha
 baadhi ya watoto yatima/wanaoishi katika mazingira magumu wakiwa katika sherehe hiyo kwenye viwanja vya nyerere square mjini dodoma.
 shekh wa mkoa wa dodoma mustapha rajab akitoa salaam za idd katika sherehe hiyo
 mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI akitoa nasaha
 picha ya pamoja kati ya mgeni rasmi na viongozi wa mkoa na viongozi wa dini ya kiislam mkoa wa dodoma
 picha ya pamoja kati ya mgeni rasmi na watoto
mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa dodoma akiwa pamoja na watoto waliohudhuria sherehe hiyo

No comments:

Post a Comment