Wednesday, November 13, 2013

RAIS KIKWETE ATOA SALAM ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA DKT SENGODO MVUNGI.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dr. Sengondo Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  wakiifariji familia ya Marehemu Dkt.Sengondo Mpicha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment