Friday, November 1, 2013

KUTOKA VIUNGA VYA JENGO LA BUNGE MJINI DODOMA.

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki na
Naobu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole
Mideye, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. 
 Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola akichangia Bungeni Mjini Dodoma Novemba  1, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akiteta  na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (wapili kulia) na
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo, Bungeni
Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. 

No comments:

Post a Comment