Friday, November 8, 2013

DODOMA WAADHIMISHA SIKU YA KILELE CHA MLIPA KODI KATIKA VIWANJA VYA NYERERE SQUERE MJINI HUMO.

Meneja wa Mamlaka ya mapato mkoa wa Dodoma Thadeo Kaliza akifafanua
jambo kwa wakazi wa mji huo waliohudhulia ili kushuhudia kilele cha
siku ya mlipa kodi yaliyofanyika katika viwanja vya nyerere squere.




Mkuu wa mkoa Rehema Nchimbi akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Dodoma
waliohudhuria maadhimisho ya siku ya kilele cha mlipa kodi
yaliyofanyika jana.


DR. Rehema Nchimbi akimkabidhi cheti cha mlipaji kodi Bora kwa
wafanyabiashara wa kati muwakilishi wa Duka la vitabu la Victory
Bookshop LTD Sameera Ismail Dawood kwenye maadhimisho hayo.


No comments:

Post a Comment