Thursday, November 21, 2013

BREAK NEWZ:CHADEMA WAWAVUA VYEO ZITO KABWE NA DR KITILA MKUMBO .

kikao cha kamati kuu ndani ya chadema kimemalizika na taarifa zilizopatikana ndani ya kikao hicho ni kwamba kimeamua kuwavua vyeo vyote vya uongozi ndani ya chama hicho ZITTO KABWE na DR KITILA MKUMBO,huku kambi ya PM7 ikivunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyao,ZITTO KABWE amevuliwa cheo cha naibu katibu mkuu na naibu kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni huku KITILA MKUMBO akivuliwa ujumbe wa kamati kuu,Aidha kamati imewaagiza wajieleze ndani ya siku 14 kwa nini wasifukuzwe uanachama ndani ya chama hicho.

No comments:

Post a Comment