Saturday, November 30, 2013

MWIMBAJI WA INJILI KUTOKA CHUO KIKUU UDOM TUMAINI KABANGO AZINDUA ALBAMU YAKE YA NISHIKE MKONO BWANA

 mwimbaji tumaini kabango akiimba wimbo wa albamu hiyo wa nishike mkono bwana
 tumaini akiimba kwa hisia kali wimbo wake wa nishike mkono ee bwana
 mwimbaji mwalikwa na aliyesindikiza kutoka dar es salaam EDSON MWASABWITE akiimba wimbo wake wa kwa neema tu
 baadhi ya waalikwa katika uzinduzi huo
 sehemu ya watazamaji katika uzinduzi huo
mchungaji KOMBA aka punda wa yesu ni miongoni mwa waalikwa wa heshima waliohudhuria uzinduzi huo
PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment