Sunday, November 10, 2013

MH RAIS KIKWETE ATETA NA MLEMAVU HUKO BUKOMBE GEITA.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mlemavu Debile James kutoka katika kijiji cha Bulega wilayani bukombe Mkoani Geita muda mfupi baada ya kufungua shule ya msingi Ng’anzo iliyojengwa na kampuni ya madini ya Nsagali yenye makao yake wilayani humo. 
Rais Kikwete aliahidi kumpatia Bajaji Mlemavu huyo ili aweze kumudu shughuli zake za kujitafutia kipato. Rais Kikwete yupo katika ziara ya  siku tano mkoa mpya wa Geita kukagua na kuzindua shughuli za maendeleo

No comments:

Post a Comment