Friday, November 15, 2013

MAELFU YA WATANZANIA WAUPOKEA MWILI WA MAREHEMU DR.MVUNGI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JK, JIJINI DAR ES SALAAM.

 Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
 Wanachama wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku lililohifandhi mwili wa kiongozi huyo wa NCCR-Mageuzi na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya.
 Waombolezaji waliofika uwanjani hapo kuupokea Mwili wa Dk. Mvungi.
 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akiwa uwanjani hapo.
 Baadhi ya waombolezaji waliofika uwanjani hapo.
Mjane wa Marehemu, Bi Anna Mvungi akiwa uwanjani hapo kuupokea mwili wa mumewe

Ndugu wakilia kwa uchungu...

No comments:

Post a Comment