Saturday, November 30, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo wa Kirumba jijini Mwanza leo jioni baada ya kulipokea Kombe hilo lililotua nchini kwa mara ya pili, ambapo kesho wananchi watapata fursa ya kupia nalo picha. 
 Rais Kikwete, akilinyanyua Kombe hilo kwa furaha baada ya kuzindua rasmi shambra shambra za ujio wake nchini katika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo jioni.
rai Kikwete, akifurahia huku akiwa ameliinua Kombe hilo juu kuwaonyesha wananchi waliojitokeza kwenye Uwanja wa Kirumba kulipokea. Wananchi wa Jiji la dar es Salaam, kesho watapata fursa ya kupiga picha na kombe hilo katika Uwanja wa Taifa.

No comments:

Post a Comment