Sunday, November 10, 2013

ANGALIA MATUKIO MBALIMBALI YA MAHAFALI YA CHUO CHA VETA MKOANI DODOMA.

Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Stadi Phillip Mulugo
akimkabidhi Cheti cha uhitimu wa mafunzo ya udereva David Mtutuma
aliyemaliza mafunzo katika chuo hicho mjini Dodoma jana

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Phillip Mulugo
akisakata Kwaito na wahitimu katika chuo cha veta Dodoma, ambapo hata
hivyo  aliibuka mshindi wa kucheza mziki huo kutokana na ustadi mkubwa
aliouonyesha

aliouonyesha.

Mmoja wa wahitimu hao  Elias Laizel akipongezwa na ndugu zake kwa
zawadi na maua  baada ya kuhitimu kozi ya uchoraji na Raman wakati wa
mahafari ya chuo cha Veta yaliyofanyika jana Dodoma

Mhitim wa kozi ya Umeme mkubwa [Electical instllation] Gedfrey
Manyanga akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo hayo toka kwa Naibu
waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi Phillip Mulugo  wakati wa
mahafari yaliyofanyika jana Dodoma.

(PICHA NA JOHN BANDA)

No comments:

Post a Comment