Wednesday, February 6, 2013

CAMEROON KUIVAA STARS LEO BILA ETO'O, SONG


WAKATI timu za soka za Tanzania ‘Taifa Stars’ na ile ya Cameroon ‘Indomitable Lions’ zinashuka leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, makocha wa timu hizo Mdenmark Kim poulsen wa Stars na Mfaransa Jean Paul Akono wametamba vikosi vyao kuibuka na ushindi.

No comments:

Post a Comment