Thursday, October 17, 2013

SIKU YA CHAKULA DUNIANI OKTOBA 16, KITAIFA WILAYANI HANANG MANYARA YAFANA.


Wananchi wa wilaya ya Hannang waliojitokeza kwenye sherehe za siku ya chakula duniani zilizofanyika kitaifa jana Wilayani humo.


Wazir wa nchi ofisi ya rais sera n uratibu Stephen Wassira (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku chakula duniani  akijadili jambo na mkuu wa mkoa sa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi wakati wa sherehe hizo zilizofanyika kitaifa jana wilayani Hannang Manyara.

Katibu wa wakuu wa mikoa ambayepia ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema nchimbi (wa pili kushoto) akiserebuka pamoj na watendaji wa wizara ya kiljmo chakula na ushirika, shirika la chakula na kilimo la umoj wa mataifa na viongozi a mkoa wa Manyara wakati wa sherehe za siku ya chakula duniani zilizofanyika kitaifa jana wilayani Hannang.

Kikundi cha burudani cha tarumbeta cha wasichana wa sekondari ya Madunga  iliyopo Mbulu Manyara wakitumbuiza hadhara wakati wa sherehe za siku ya chakula duniani iliyofanyika kitaifa wilayani hannang Manyara jana, kundi hilo lilikuwa kivutio kikubwa kwa umahiiri wa kupiga tarumbeta.


No comments:

Post a Comment