Sunday, October 13, 2013

PICHA ZA UFOO SARO BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI.

 Ufoo Saro, baada ya kufanyiwa upasuaji.
  Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimtoa katika chumba cha Dharula ICU Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV na Redio One, Ufo Saro,  kumpeleka wodini baada ya kumaliza kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi mwilini kutokana na tukio la kujeruhiwa kwa risasi na anayedaiwa kuwa mchumba wake leo alfajiri huko maeneo ya Kibamba, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. 
 Baadhi ya wanahabari wa vyombo tofauti wakimsindikiza Ufoo na kunasa matukio ya picha zake wakati akipelekwa Wodini tayari kwa kulazwa baada ya kufanyiwa upasuaji.
Baadhi ya wanahabari wa vyombo tofauti wakimsindikiza Ufoo na kunasa matukio ya picha zake wakati akipelekwa Wodini tayari kwa kulazwa baada ya kufanyiwa upasuaji.

No comments:

Post a Comment