Monday, October 14, 2013

RAIS KIKWETE AKIWASILI IRINGA TAYARI KWA KUZIMA MWENGE KITAIFA.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitakazofanyika kesho (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa mjini Mhe Msigwa katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitakazofanyika kesho (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kamanda wa vijana wa CCM Mkoani Iringa,Mhe Asas katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitakazofanyika kesho (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment