Thursday, September 5, 2013

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MKUU MOSES KULOLA JIJINI MWANZA.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho na kuweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Muasisi na askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dr.Moses Kulola wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza jana mchana.
Wakiweka udongo kwenye kaburi hilo.

No comments:

Post a Comment