Wednesday, September 18, 2013

RAIA WA NIGERIA WABURUZWA MAHAKAMANI KWA KUTUMIA KIVULI CHA DINI KUISHI NCHINI KINYUME CHA SHERIA.


 Mwiinjilisti  mwanamke  kutoka nchini Nigeria  ambaye ana kibali cha kazi ya uinjilisti  katika  huduma ya Life Changer  Chapel iliyoko Sinza  jijini Dares Salaam , Blessing  Dangana, anayedaiwa kuwatunza raia wa Nigeria watano ambao wanatoa huduma hiyo bila kibali maalum akitoka nje ya Mahakama ya  Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani hapo, jana.
 Baadhi ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa  Mwinjilisti mwanamke  mwenye kibali cha kazi hiyo Blessing  Dangana  katika  huduma ya Life Changer  Chapel  iliyoko Sinza  jijini Dares Salaam , wakitoka  nje ya Mahakama ya  Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani hapo huku wengine wa kijificha sura zao.

No comments:

Post a Comment