Thursday, September 5, 2013

BREAK NEWS :JAMANI BUNGENI KWA CHAFUKA TENA MBOWE ATOLEWA NJE NA ASKARI.

 Kiongozi wa kambi ya upinzani, Freeman Mbowe ametolewa nje na askari wa bunge, baada ya naibu spika wa bunge Job Ndugai kutoa amri hiyo, pia baadhi ya wabunge wa upinzani wengine nao wametoka nje.Hii imetokana na mzozo uliotokana na mjadala juu ya marekebisho ya muswada wa katiba mpya .  .mtandao huu utaendelea kukujuza zaidi
wabunge wakitoka nje ya ukumbi wa bunge.

No comments:

Post a Comment