Saturday, May 11, 2013

WALIOFARIKI KWA BOMU ARUSHA WAZIKWA RASMI MBELE YA VIONGOZI WA DINI NA SERIKALI.


Mapadri wakiwa wamebeba mislaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu waliofariki kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanaisa la Olasiti jijini Arusha May 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa hilo may 10,2013.


Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013.
Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat Lebulu akinyunyuzia maji miili ya waumini wa kanisa hilo waliofariki katika tukio la kurushwa kwa bomu la mkono kwenye kanisa la Olasiti jijini Arusha may 10,2013.

No comments:

Post a Comment