Thursday, May 9, 2013

mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI atembelea mashamba ya viongozi wa wilaya ya bahi katika kuhamasisha kilimo mkoani dodoma.(KILIMO BORA,CHAKULA BORA HULETA MAENDELEO BORA)

 mh mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI akiangalia alizeti iliyostawi vizuri katika shamba la alizeti lililolimwa na  mh mkuu wa wilaya ya bahi BI BETY MKWASA(aliyesimama kulia)katika ziara ya kukagua mashamba ya viongozi mkoa wa dodoma
 mkuu wa mkoa wa dodoma DR REHEMA NCHIMBI (mwenye nguo nyeusi) akiwa na msafara wa viongozi wa wilaya ya bahi wakielekea shambani.(kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya bahi BI BETY MKWASA)
DR REHEMA NCHIMBI akifurahia kustawi kwa alizeti wilayani bahi.

No comments:

Post a Comment