Saturday, May 25, 2013

JAMANI NYARA ZA SERIKALI HIZOOO

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akionyesha waandishi wa habari wanyama aina ya kobe zaidi ya 70 waliofungwa kwenye mifuko ya Salfet waliokuwa wamekutwa kwa Moses Nyawaje 42 akiwa anataka kuwasafirisha kinyume cha sheria.Picha na John Banda, Dodoma 
Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akionyesha waandishi wa habari wanyama aina ya kobe zaidi ya 70 waliofungwa kwenye mifuko ya Salfet waliokuwa wamekutwa kwa Moses Nyawaje 42 akiwa anataka kuwasafirisha kinyume cha sheria.
 

No comments:

Post a Comment