Friday, May 10, 2013

BREAKING NEEEEWZZ!!! SHEIKH PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE MWAKA MMOJA, WENZAKE 49 WAACHIWA HURU

HABARI zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, leo imesoma hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, na kumhukumu kifungo cha nje cha Mwaka mmoja huku wenzake 49, wakiachiwa huru. 

No comments:

Post a Comment