Monday, May 6, 2013

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi yuko anafanya ziara kwenye wilaya za Mkoa wa Dodoma kutembelea shughuli za kilimo mashambani kufanya tathimini ya kilimo kwa msimu huu wa 2013. ziara hii inayotarajiwa kukamilika Jumanne wiki ijayo imekuja kwa lengo la kutathimini matokeo ya kilimo baada ya Mkoa wa Dodoma kufanya uzinduzi wa msimu na shughuli za kilimo miezi ya mwishoni mwa mwaka jana 2012.

 MH MKUU WA MKOA WA DODOMA BI REHEMA NCHIMBI AKIWA NA BAADHI YA WAKULIMA WA MKOA WA DODOMA

MKUU WA MKOA WA DODOMA AKIWA SHAMBANI

No comments:

Post a Comment