Wednesday, May 22, 2013

PROF JAY ACHUKUA KADI YA CHADEMA NA KUJIUNGA RASMI NA CHDM.

Mtu mzima Joseph Haulea a.k.a Prof. Jay 'Jzze' the havy weight MC, ameamua kuingia rasmi kwenye siasa baada ya kuchukua kadi ya chama ya CHADEMA. 
Prof. Jay amekabidhiwa kadi hiyo leo na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu'.

ANNA KILANGO NAYE NA TUNDU LISU  HAPATOSHI





Baada ya Bunge kuahirishwa jana, nje ya ukumbi hali haikuwa nzuri baina ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.
Mtafaruku huo uliibuka baada ya Kilango kusikika akimtuhumu Lissu kwa uchochezi, akisema kwamba amekuwa mbunge pekee anayeongoza kwa vurugu.
Maneno hayo hayakumfurahisha Lissu ambaye alishindwa kuvumilia na kumgeukia Kilango kwa nguvu huku baadhi ya wabunge wakishuhudia na wengine wakimzuia Lissu

No comments:

Post a Comment