Friday, May 10, 2013

Aliyekuwa mbunge wa Igunga Dk.Peter Kafumu ameshinda na sasa ni mbunge halali wa jimbo la Igunga.

Habari kutoka Mahakama ya rufaa zinasema Dk.Peter Kafumu aliyekuwa mbunge wa Igunga ni kwamba ameshinda na sasa ni rasmi Kafumu ni mbunge halali wa jimbo la Igunga.

No comments:

Post a Comment