Thursday, May 16, 2013

CHELSEA YATWAA EUROPA LEAGUE, BENITEZ RAHA TUPU.

Champions: Chelsea lift the Europa League after beating Benfica in the final in Amsterdam

Mabingwa: Chelsea wakiwa na mwali wao wa Europa League Uwanja wa Amsterdam
On the continent: Chelsea added the Europa League to their Champions League success last year
Kutoka Ligi ya Mabingwa hadi...
Boss: Rafa Benitez smiles as he lifts the Europa League trophy in Amsterdam
Bosi: Rafa Benitez akitabasamu wakati akiinua taji la Europa League Uwanja wa Amsterdam
Smiles: Frank Lampard gets his hands on the prize
Tabasamu: Frank Lampard 
Safe hands: Petr Cech lifts the trophy
Mikono salama: Petr Cech 

BAO la Branislav Ivanovic dakika ya pili ya muda wa nyongeza kati ya tatu baada ya kutimu dakika 90 za kawaida, usiku huu limeipa Cheslea Kombe la Europa League baada ya kuilaza Benfica ya Ureno mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Amsterdam Arena.
Beki huyo wa Serbia, alipaa hewani kwenda kuufuata mpira wa kona uliopigwa na  Juan Mata na kuujaza nyavuni.

No comments:

Post a Comment