Friday, December 13, 2013

ZIARA YA MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI NMKOANI DODOMA KUTEMBELEA MIRADI YA KILIMO NA KUONGEA NA WAKULIMA WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA


Malkia Maxima wa uholanzi akivishwa mavazi ya asili ya wagogo kaniki na kibuyu na mmoja wa wakulima wadogowadogo wa zabibu kijiji cha Gawae Manispaa ya dodoma wakati Malkia huyo alipofanya ziara kutembelea mradi ya kilimo inayofadhiliwa na WFP Manispaa ya dodoma.

No comments:

Post a Comment