Thursday, December 12, 2013

ZAIDI YA ABIRIA 12 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA BURUDANI KUPATA AJALI KOROGWE MKOANI TANGA LIKIWA SAFARINI KUELEKEA JIJINI DAR ES SALAAM.

Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni, Imeripotiwa mpaka sasa watu zaidi ya 12 wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.
Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.

No comments:

Post a Comment