Monday, December 2, 2013

MKOA WA DODOMA WAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI WILAYANI CHAMWINO KATIKA KIJIJI CHA DABALO.

MKUU wa Mkoa wa dodoma Dr. RRehema Nchimbi akimpa Matone ya vitamini A mtoto  Ester Baragunyu (8) wa kijiji cha Dabalo Chamwino jana wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI DUNIANI ambayo kimkoa yaliyofanyika kijiji hapo. Maadhimisho kama haya hua pia yanatumika kuhamasisha utoaji wa chanjo na vitamini mbalimbali kwa mtoto.
MKUU wa Mkoa Dodoma  Dr. Rehema Nchimbi akikemea tabia hatarishi zinazochangia kuchochea maambukizi ya UKIMWI wakati akihutubia wananchi wa Mkoa wa dodoma wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika jana  kimkoa katika kijiji cha Dabalo.

No comments:

Post a Comment