Friday, December 13, 2013

WAZIRI CHIZA NA WENZAKE WAHOJIWA NA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA.

          
Waziri wa kilimo na chakula Christoper  Chiza akibadilishana mawazo
mbunge wa kuteuliwa Rose Migilo
Nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao cha
kamati kuu ya chama cha mapinduzi [CCM] kilichofanyika Jana Waziri huyo alitakiwa kujieleza mbele ya kamati kuu.

WAZIRI CHIZA HAPA AKIPOKEA MAELEKEZO

PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment